CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE

CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE
kiungo : CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE

soma pia


CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE

  Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP) Phaustine Kasike akiwasili Gereza Makete tayari kwa ziara yake ya kikazi Mkoani Njombe, Novemba 14,  2018.
 Mkuu wa Gereza Makete, SP. Aloyce Kayera(kushoto) akisoma taarifa ya Gereza mbele ya Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini (CGP) Phaustine Kasike(kulia) alipotembelea gereza hilo leo Novemba 14, 2018.
 Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini (CGP) Phaustine Kasike akizungumza jambo alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Wilaya Makete Novemba 14, 2018. Wengine ni Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo.
 Baadhi ya Askari wa kike wa Jeshi la Magereza wakiteta jambo na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike ambapo askari hao wamempongeza Mkuu wa Jeshi hilo kwa uamuzi wake wa kutembelea magereza mbalimbali hapa nchini.
 Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akikagua maandalizi ya mashamba ya kilimo cha mahindi katika eneo la Gereza Ludewa mapema leo asbuhi Novemba 14, 2018  kabla ya kuelekea Gereza Makete kuendelea na ziara yake ya kikazi.
Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Veronica Kessy akiagana na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Wilaya Makete.


Hivyo makala CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE

yaani makala yote CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/cgp-kasike-afanya-ziara-gereza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CGP KASIKE AFANYA ZIARA GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE"

Post a Comment