title : BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI
kiungo : BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI
BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Dkt Alexander Kyaruzi katika akiwa kwenye picha ya pamoja kulia kwake ni Mjumbe wa bodi ya Shirika hilo Balozi James Nzagi na kushoto ni kwake ni Mjumbe wa Bodi hiyo Gilay Shamika
Bodi yaWakurugenziya TANESCO imesema inaridhishwa na Ubora wa mita zinazozalishwa hapa nchini kwani zinaviwango sawan amita zinazo zalishwa njeya nchi.
Hayo yalibainishwa leo wakati wa ziara iliyofanywa na Bodi yaWakurugenzi hiyo katika kiwanda cha Inhemeterna Baobab Energy System vilivyopo mjini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Bodi yaWakurugenziya TANESCO Dkt. Alexander Kyaruzi amesema kuwa dhumuni kubwa la ziara hiyo ni kukagua na kujiridhisha na ubora wa mita na uwezo wa viwanda hivyo katika kukidhi mahitaji ya TANESCO na REA.
Alisema kwani kwasasa uhitaji wa Mita umekua mkubwa kutokana na uhitaji wa umeme kwa wananchi wa Vijijini na Mjini, pamoja na maboresho yanayofanywa na Shirika yakubadilisha mita za wateja wa zamani ambao walifungiwa mita miaka 10 iliyopita na sasa wanahitajika kuwekewa mita mpya.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Alexander Kyaruzi kulia akiangalia mchakato wa utengenezaji wa mita katikati ni Meneja Mwandamizi wa Usambazaji na huduma kwa wateja wa shirika hilo Theodory Bayona na kushoto ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha cha Inhemeter
Mkurugenzi wa Kiwanda cha cha Inhemeter kushoto akisisitiza jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Alexander Kyaruzi.
Hivyo makala BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI
yaani makala yote BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/bodi-ya-wakurugenzi-ya-tanesco.html
0 Response to "BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI"
Post a Comment