Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba

Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba
kiungo : Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba

soma pia


Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba

Fundi Sanifu wa Moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Saada Salum akimwekea kifaa cha kupima kiwango cha afya ya moyo ili kuhimili mchezo awapo uwanjani beki wa Ivory Coast Coulibaly Zana Oumar kabla ya kusajiriwa na klabu ya Simba jana katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Daktari bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) George Longopa akiangalia mapigo ya moyo na umeme wa moyo unavyofanya kazi katika mashine ya Trade Mill alipokua akimpima beki wa Ivory Coast Coulibaly Zana Oumar vipimo vya afya ya moyo kabla ya kusajiriwa na klabu ya Simba jana katika Taasisi hiyo.
Daktari bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) George Longopa akimfanyia beki wa Ivory Coast Coulibaly Zana Oumar kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (ECHO Cardiogram) alipowasili katika taasisi hiyo kufanyiwa vipimo vya afya ya moyo kabla ya kusajiriwa na klabu ya Simba jana Jijini Dar es Salaam.
Daktari bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) George Longopa katika picha ya pamoja na beki wa Ivory Coast Coulibaly Zana Oumar baada ya kuwasili katika taasisi hiyo akiwa na daktari wa timu ya Simba Yassin Gembe kufanyiwa vipimo vya afya ya moyo kabla ya kusajiliwa na klabu hiyo kupitia dirisha dogo jana Jijini Dar es Salaam. Picha na: Genofeva Matemu - JKCI.


Hivyo makala Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba

yaani makala yote Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/beki-wa-ivory-coast-afanyiwa-vipimo-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Beki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu ya simba"

Post a Comment