ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO

ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO
kiungo : ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO

soma pia


ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii


Msanii wa muziki wa Bonofleva Ali Kiba amemjibu msanii mwenzake Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'  kuptia ukurasa wake wa Instagrama kuwa amekubali mualiko wa kwenda kushiriki katika tamasha la Wasafi Festival.


Katika ujumbe wake Ali Kiba amesema kuwa, ameshurukuru kwa kupata mualiko wao ila hataweza kushiriki kutoakana na kuwa na majukumu mengine ya kuzindua kinywaji chake ch Mofaya Energy.

Mbali na hilo Kiba amemuomba Diamond kudhamini tamasha hilo ili kusongesha gurudumu la muziki wa Tanzania.

"Pia ndugu zangu #Wasafi tumepata salamu zenu, nashukuru kwa mualiko wenu, ila kwa bahati mbaya sitoweza kushiriki kwa sasa kutokana na majukumu ya kuzindua Mofaya katika nchi zingine. Hata hivyo tusingependa kuwaacha hivi hivi, tupo tayari kuwapa support ya kudhamini tamasha lenu kupitia #MofayaEnergyDrink ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya sanaa yetu Tanzania na Africa . Management #RockstarAfrica yangu tutaendelea kuwasiliana nanyi tuweze kufanya hili jambo kubwa "


Hivyo makala ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO

yaani makala yote ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/alikiba-akubali-kushiriki-wasafi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO"

Post a Comment