title : ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI
kiungo : ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI
ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtalaam wa Maabara, Petronila Olomi (kushoto) wakati alipotembelea Maabara ya Kituo cha Afya cha Bahi mkoani Dodoma, Oktoba 19, 2018. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo na Wapili kushoto ni Mganga Mkuu wa Kituo hicho, Kassim Kolowa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo orodha ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ambao bado hawajahamia Bahi na wanaishi mjini Dodoma ili awachukulie hatua. Alikuwa katika kikao na Watumishi wa Halmashuri hiyo, Oktoba 19, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI
yaani makala yote ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ziara-ya-waziri-mkuu-kassim-majaliwa.html
0 Response to "ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI BAHI"
Post a Comment