ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU.

ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU.
kiungo : ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU.

soma pia


ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU.

MWAMBAWAHABARI 



Ziara ya Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema  katika Kata ya Mchikichini leo imefanikisha kukamatwa kwa  Vijana 16 wanasadikiwa kuwa  kuwa Ni wahamiaji haramu.
Naibu Kamishna uhamiaji, Afisa uhamiaji Ilala Pili Zuberi Mdanku kwa kushirikiana na OCD Ilala SP Jason Ibrahim, wamefanikiwa kuwakamata watu hao wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu ambapo wamechukuliwa kwa ajili ya mahjiano ili kubaini Kama kweli ni wahamiaji haramu.

Vijana hao wamekamatwa  mara baada ya mmoja wa wananchi kutoka katika kata hiyo kuwasilisha  kero kwa DC Mjema kuwa kuna nyumba ambayo inawahifadhi wahamiaji haramu, ikiwa Ni mwendelezo was Ziara ya Mkuu huyo.

DCI Pili ameamua kufanya doria katika eneo hilo mara baada ya kupata taarifa hizo kwani, si mara ya kwanza kufanya doria katika eneo hilo na kuwakamata  watu hao wanaodaiwa kuwa Ni wahamiaji haramu.

Amesema kuwa, katika mahojiano ya awali walioyafanya na wahamiaji hao, wamedai kuwa 15 ni watu wa asili ya kigoma na mmoja ni msambaa,  ambapo wamechukuliwa kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Kwa upande wake, DC Mjema amewapongeza Afisa uhamiaji Ilala na timu nzima ya OCD kwa kufanya kazi kubwa ya kuwafichua watu hao wanadhani wa kuwa ni wahamiaji haramu.

Amesema kuwa, nchi ya Tanzania haimkatazi mtu kuishi nchini humo, bali itamtaka kila mtu kufata sheria,taratibu  na kanuni za kuishi nchini humo.




Hivyo makala ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU.

yaani makala yote ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ziara-ya-dc-mjema-kata-ya-mchikichini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ZIARA YA DC MJEMA, KATA YA MCHIKICHINI YANASA WAHAMIAJIHARAMU."

Post a Comment