title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali, Marco Elisha Gaguti wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Bukoba kuanza awamu ya pili ya ziara ya mkoa huo itakayodumu kwa siku nne.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama Ngoma ya kikundi cha Kakau Band wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kuanza awamu ya pili ya ziara ya mkoa huo itakayochukuwa siku nne.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma bango lenye malalamiko ya mmoja wa wananchi wa Bukoba wakati alipowasalimia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba baada ya kuwasili kwa ziara ya siku nne mkoani humo, Oktoba , 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti na kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_8.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aaza Ziara Mkoa wa Kagera."
Post a Comment