title : WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA
kiungo : WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA
WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA
Mwambawahabari
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kongwa ambaye ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, wakati akiwasili Wilayani Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kongwa ambaye ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Kongwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Wilayani Kongwa Dodoma, Oktoba 11, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Kongwa, kwenye ukumbi wa Halmashauri Wilayani hapo, kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018.
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akizungumza nao akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-afanya-ziara-wilayani-kongwa_11.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA"
Post a Comment