title : WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA.
kiungo : WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA.
WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA.
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imewataka walimu wa sekondari kuviendeleza Vilabu vya kodi Mashuleni ili kuwajengea uelewa wa kodi wanafunzi.
Hayo yamesemwa na na Kamishna mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania TRA CHARLES Kichere, Wakati akifungua mashindano ya Vilabu vya kodi katika shule za sekondari mkoa wa Dar es salaam na Pwani, na kusema kuwa mashindano hayo na Vilabu vitawajengea uzalendo kwa nchi yao katika masuala ya kodi.
"washindi shindano mtapata fursa ya kushiriki Maonyesho ya biashara ya kimataifa mwakani katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba na pia mtapata naposho" alisema Kichere.
Kwa upande wao wanafunzi wanaoshiriki shindano hilo wameishukuru TRA kwa kuanzisha Vilabu hivyo na kusemakuwa vinawasaidia kujenga uelewa wa mambo ya kibiashara na kodi kwa ujumla.
Mashindano hayo bado Yana endelea muda huu mshindi atakapo patikana tutakupa taarifa zaidi.
Hivyo makala WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA.
yaani makala yote WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wanafunzi-sekondari-dar-na-pwani.html
0 Response to "WANAFUNZI SEKONDARI DAR NA PWANI WATOANA JASHO KUMSAKA MKALI WA KODI TRA."
Post a Comment