title : WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
kiungo : WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
WAFANYAKAZI wa benki ya TIB Corporate wamtembelea Mkurugenzi Mkuu wa bohari ya dawa (MSD) Laurean Rugambwa jijini Dar es Saaam leo.
Uamuzi wa wafanyakazi wa benki hiyo kwenda MSD nimwendelezo wa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa namna ya kutembelea wateja wao kwaajili ya kutoa shukurani kwa wateja.
Mkurugenzi Mkuu wa bohari ya dawa (MSD) Laurean Rugambwa amewashukuru benki hiyo kwani wamefanya kitu cha tofauti pia amewatia moyo kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na kujituma.
Wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate wakimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa bohari ya dawa (MSD) mwenye tisheti ya bluu leo mara baada ya kutembelewa na wafanyakazi hao ofisini kwake.
Mfanyakazi wa benki ya TIB Corporate akiangalia boksi la dawa mara baada ya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa bohari ya dawa (MSD) Laurean Rugambwa kuwaonesha jinsi bohari hiyo ilivyo.
Mkurugenzi Mkuu wa bohari ya dawa (MSD) Laurean Rugambwa akiwaonesha baadhi ya maboksi ya dawa wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate wakiwa kutembelewa na wafanyakazi hao jijini Dar es Salaam na kuangalia mteja wao anavyofanya kazi.
Wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate wakitembelea bohari ya dawa (MSD)mara baada ya mazungumzo na mkurugenzi mkuu wa bohari ya dawa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika Oktoba kila mwaka.
Hivyo makala WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
yaani makala yote WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wafanyakazi-benki-ya-tib-corporate_12.html
0 Response to "WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA"
Post a Comment