title : Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo
kiungo : Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo
Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo
Bi Sahle-Work ni mwanadiplomasia mwenye uzoefu ambaye sasa amekuwa kiongozi wa kipekee mkuu mwanamke barani Afrika.
Kuchaguliwa kwake katika wadhifa huo kunajiri wiki moja baada waziri mkuu Abiy Ahmed kuliteua baraza la mawaziri ambapo nyadhifa nusu katika baraza hilo zimewaangukia wanawake.
Katika hotuba yake ya kukubali wadhifa huo, rais Sahle-Work amezungumza kuhusu umuhimu wa kudumisha amani, vyombo vya habari nchini humo vinaeleza.
Amechaguliwa baada ya kujiuzulu ghafla kwa kiongozi aliyekuwepo Mulatu Teshome.Mkuu wa wafanyakazi katika ofisi ya waziri mkuu, Fitsum Arega, alituma ujumbe katika mtandao wa twitter kwamba uteuzi huo wa "kiongozi mkuu mwanamke haidhihirishi viwango vya miaka ijayo, lakini pia inafanya kuwa jambo la kawaida kwa wanawake kuwa waamuzi wakuu katika maisha ya umma". Chanzo BBC
Hivyo makala Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo
yaani makala yote Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wabunge-nchini-ethiopia-wamchagua-sahle.html
0 Response to "Wabunge nchini Ethiopia wamchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo"
Post a Comment