Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.

Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
kiungo : Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.

soma pia


Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Rashid Ali Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba wakimskiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho hayo yaliyojumisha aina mbali mbali ya kilimo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akimkabidhi zana za Kilimo kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima Bw.Hamad Othman Sheik wa Koowe  katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akivuma mahindi katika shamba la mfano   katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati)akifuatana na  Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Harouin Ali Suleiman wakati alipotembelea aina ya Vilimo mbali mbali na Ufugaji katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo  katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (wa pili kushoto)akiwa na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali  wakiangalia Viazi vitamu wakati alipotembelea aina ya Vilimo mbali mbali na Ufugaji katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo  katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu .]11 Oct 2018.


Hivyo makala Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.

yaani makala yote Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/uzinduzi-wa-maonesho-ya-siku-ya-chakula.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani - Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo."

Post a Comment