title : SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)
kiungo : SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)
SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI), katikati ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings na wa mwisho ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy Quimbaya. Wageni hao walimtembelea Mhe. Spika leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI), kushoto kutoka kwa Mhe. Spika ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy Quimbaya. Wageni hao walimtembelea Mhe. Spika leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini Dodoma.
Hivyo makala SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)
yaani makala yote SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/spika-atembelewa-na-wageni-kutoka.html
0 Response to "SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)"
Post a Comment