title : SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU
kiungo : SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU
SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kutengenezea Gypsum Board kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Knauf kilichopo Mwanambaya Mkuranga Bw. Zachopolous Georgions. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua ujenzi wa barabara Mkuranga – Kisiju inayojengwa kwa kiwango cha lami ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya siku sita ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya mpango wa kuborsha barabra za Mkuranga kutoka kwa Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (katikati) wakati akikagua ujenzi wa barabara Mkuranga – Kisiju inayojengwa kwa kiwango cha lami ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya siku sita ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo mkoani Pwani kulia pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya vifungashio vinavyotumika kufungashia vigae vya marumaru (tiles) alipotembelea kiwanda cha Goodwill Ceramic ltd kilichopo Mkuranga mkoani Pwani, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Robin Huang. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia ya vigae (tiles) moja alipotembelea kiwanda cha Goodwill Ceramic ltd kilichopo Mkuranga mkoani Pwani, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Robin Huang. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU
yaani makala yote SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/samia-akagua-maendeleo-ya-ujenzi-wa.html
0 Response to "SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU"
Post a Comment