title :
kiungo :
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Wanachi wa Wilaya ya Ilala wametakiwa kudumisha usafi na kutunza mazingira ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kipundupindu.
Witohuo umetolewa leo na Katibu tawala wa Wilaya ya Ilala Shailla Edward Lukuba alipokuwa katika zoezi la usafi lililoambatana na ufungazi wa mapipa ya taka (Dustbin ) katika mtaa wa Msimbazi ambao unapilipilika nyingi, na kuongeza kuwa usafi ni agizo la Rais Dkt John Pombe Magufuli.
"Zoezi la usafi ni endelevu mnamo Desemba 9/2018 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli a lioness mfano yeye mwenyewe na kuagiza kila Jumamos ya Mwisho wa mwezi kufanyika usafi nchi nzima na sisi Wasaidizi wake tunapaswa kulisimamia hili ndiyo maana leo tupo hapa tunaomba wananchi tufungwe mkono zoezi hili " alisema.
Katika zoezi hilo jumla ya mapipa ya kuhifadhia taka 20 kwaajili ya wapitanjiakutupia taka ili kupunguza uchafu na kuhifadhi mazingira katika eneo hilo.
Kwa upande wake mkuu wa idara ya mazingira na uhifadhi wa taka Ngumu Adon Mapunda, amesema kufungwa kwa mapipa hayo wanatarajiwa kupunguza usumbufu kwa wananchi wanaofanya shughuli zao na wanaopita katika maeneo hayo.
Mapunda amesema mapipa hayo ya tatu mi ka kutupataka aina ya Karatasi, vocha, Chupaza maji, na taka nyingine nyepesi.
"Naomba wote tulio wakabidhi mapipa haya Muyatunze na kuyalinda tafadhali ya situmike kumwaga taka za majimaji, wauza matunda na Mamalishe ni marufuku kutupataka zao katika mapipa haya, wao wawe kekatika magari wakandarasi wanavyo magari yanayo kuanza taka, atakayetupa taka hovyo atachukuliwa hatua za kisheria "alisema
Nao baadhi ya wamiliki na wanafanya biashara katika maeneo yaliyofungwa vyombo hivyo wamehaidi kuvitunza na kuvisimamia ilikusudi vitimize lengo na kusaidi lake.
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/na_27.html
0 Response to " "
Post a Comment