RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein kulia  alipotoa hotuba  ya Ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.katikati ni Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan na Mwisho kushoto ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed
Shein kushoto akipata maelezo kuhusiana na Vitu mbalimbali vya kizamani ikiwemo Pishi katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein wapili kushoto akiuliza maswali kwa Meneja Mkuu  wa Kampuni ya Com Net Keith McCormick alipotembelea Banda hilo katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rais-wa-zanzibar-dkt-ali-mohamed-shein.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR"

Post a Comment