title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisizitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018
Picha na IKULU.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rais-dkt-magufuli-akutana-na-rais_24.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment