title : PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020
kiungo : PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020
PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020

Aidha Serikali imepanga kutekeleza Mradi mkubwa wa maji hapa nchini utakogharimu kiasi cha Trilion 1.1 sawa na dola za kimarekani million 500 kwa watanzania wamesubiria maji hivyo watakaopata nafasi ya kusimamia mradi huu kuutekeza kwa ufanisi na kwa wakati.
Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea visima vya maji katika kijiji cha Levolosi kata ya Kimnyaki wilaya ya Arusha dc na kutiliana saini Waziri wa maji na umwagiliaji Prof.Makame Mbarawa amesema kuwa serikali itaendelea kuhakikisha miradi hiyo inaondoa adhaa ya maji kwa watanzania
Amesema kuwa jiji la Arusha kwa sasa linazalisha maji lita million 45 kwa siku wakati mahitaji yanayotosheleza kwa siku ni lita million 94 ndio maana serikali ikaliona hilo na ikaandaa mradi mkubwa uakapo kamilika utazalisha lita million 200 kwa siku ambao utaondoa tatizo la maji kwa jiji la Arusha na kuwa historia.
“Jiji la Arusha kwa sasa kuna upungufu mkubwa wa maji ambapo serikali inakuja na mradi huu mkubwa kwa kuchimba visima 56 tunajenga mfumo wa kusafisha maji na mfumo wa kusambaza maji na mfumo wa kusafisha maji taka na wakandarasi wapo kazini”alisema Prof.Mbarawa.
Hivyo makala PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020
yaani makala yote PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/profmbarawa-serikali-yajipanga-kumaliza.html
0 Response to "PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020"
Post a Comment