NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA

NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA
kiungo : NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA

soma pia


NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA


KAMPUNI Bora 100 Tanzania (Top 100 Mid-sized Companies' Survey) ni shindano linaloendeshwa na Mwananchi Communications Limited kwa kushirikiana na KPMG. Shindano hili ambalo hufanyika kila mwaka tangu 2011, huku likiwa na lengo la kuzitambua na kuzizawadia kampuni za kati zinazofanya vizuri, kuchochea maendeleo ya Tanzania kiuchumi.

Benki ya NMB ni miongoni mwa wadhamini wa shindano hili, huku ikijikita katika kusaidia eneo la SME, kipengele ambacho ni muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kuchochea makampuni hayo kufanya vizuri zaidi. NMB ni kichocheo muhimu cha SME pia, lazima ijenge mazingira mazuri ili kuleta maendeleo zaidi. Utafiti huu kwa makampuni ni muhimu kwa sababu unatoa jukwaa la SMEs, kampuni ambazo wengi ni wateja wetu, kupata mafanikio katika maendeleo ya kiuchumi na taifa kwa ujumla.

Makampuni ambayo yanaingia katika ushindani ni yale ambayo mauzo yao yanaanzia shilingi 1 za kitanzania hadi bilioni 20, na kumbukumbu zake za kifedha kukaguliwa kwa miaka 3 iliyopita, na pia isiwe kwenye orodha ya soko la hisa wala kuwa kampuni ya benki / bima / SACCOS / Sheria / Uhasibu au kampuni ya ukaguzi mahesabu.

Makampuni za Juu 100 zilizopitishwa kati za makampuni yote yaliyoshiriki yatazingatiwa katika ukuzaji kimapato.Mbali na NMB, wengine wa kampuni bora Bora ya mwaka 2018/2019 ni pamoja na Soko La Hisa la Dar es Salaam na Azam Media na Hoteli ya Hyatt Regency.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker akizungumza kwenye hafla ya kutunuku kampuni Bora ya mwaka 2018/2019 (Top 100 Mid-sized Companies' Survey).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker akisalimiana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harison Mwakyembe kwenye hafla hiyo.
Meza kuu katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) katika mazungumzo na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harison Mwakyembe (katikati) kwenye hafla hiyo. 



Hivyo makala NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA

yaani makala yote NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/nmb-yadhamini-shindano-la-kampuni-bora.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NMB YADHAMINI SHINDANO LA KAMPUNI BORA 100 TANZANIA"

Post a Comment