NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU

NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU
kiungo : NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU

soma pia


NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU



Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhan Kailima (katikati) akikata utepe kuashiria kupokea nyumba za makazi ya Polisi zilizojengwa na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) mjini Bariadi Mkoani Simiyu. Katika hotuba yake mara baada ya kuzipokea nyumba hizo, Kailima aliishukuru Tanroads na kuwataka wananchi mkoani humo kuendelea kutoa taarifa za uhalifu katika maeneo yao ili kuimarisha ulinzi na usalama. Wapili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa huo, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Festo Kiswaga, na kushoto ni Meneja wa Tanroad mkoa huo, Albert Kent.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhan Kailima akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya nyumba za makazi ya Polisi zilizojengwa na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) mjini Bariadi Mkoani Simiyu. Kailima aliishukuru Tanroads kwa ujenzi wa nyumba hizo na pia aliwataka wananchi mkoani humo kuendelea kutoa taarifa za uhalifu katika maeneo yao ili kuimarisha ulinzi na usalama zaidi. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa huo, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Festo Kiswaga.
Sehemu ya nyumba za makazi ya Polisi Jeshi la Polisi mkoani Simiyu zilizojengwa na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS). Nyumba hizo zilipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhan Kailima (hayupo pichani) katika hafla ya mapokezi iliyofanyika mjini Bariadi mkoani humo. Kailima aliishukuru Tanroads kwa ujenzi wa nyumba hizo na pia aliwataka wananchi mkoani humo kuendelea kutoa taarifa za uhalifu katika maeneo yao ili kuimarisha ulinzi na usalama zaidi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU

yaani makala yote NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/naibu-katibu-mkuu-kailima-akabidhiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKABIDHIWA NYUMBA NA TANROAD KWA AJILI POLISI SIMIYU"

Post a Comment