title : MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI
kiungo : MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI
MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akipeana mikono na Viongozi mbalimbali alipokua akiondoka Zanzibar na kurejea nyumbani.
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akipita katika zulia kuelekea kwenye ndege tayari kwa kuiondoka Zanzibar na Kurejea nyumbani.
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi(Gavu)alipokua akiondoka Zanzibar na kurejea nyumbani.
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuaga wakati akipanda ndege na kuondoka Zanzibar na kurejea nyumbani.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI
yaani makala yote MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mtawala-wa-ras-al-khaima-shaikh-saud.html
0 Response to "MTAWALA WA RAS AL KHAIMA SHAIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI AONDOKA ZANZIABR NA KUREJEA MYUMBANI"
Post a Comment