title : Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo
kiungo : Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo
Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na wafanyakazi wa NSSF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya SIDO mkoani Simiyu.(wa pili kushoto ni Afisa matekelezo wa NSSF Simiyu Mr Khalid Omar, wa Tatu kushoto ni Stara Masatu ambaye ni Afisa mwandamizi wa NSSF Shinyanga,Katikati ni Abasi Cothema, Afisa mwandamizi sekta isiyo rasmi, na wa kwanza kulia ni Nuhu Ramadhani ambaye ni Mkuu wa Kituo cha NSSF Simiyu.Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Mtaka ametoa wito kwa NSSF kuwekeza nguvu kubwa katika kuhakikisha wajasiriamali wadogowadogo wanajiunga na NSSF

Afisa matekelezo wa NSSF Bwana Abdul- Aziz Abed akitoa elimu kwa wageni waliotembelea Banda la NSSF wakati wa maonesho ya SIDO yanayoendelea Mkoani Simiyu
Hivyo makala Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo
yaani makala yote Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mtaka-atoa-wito-kwa-nssf-kuhamasisha.html
0 Response to "Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo kujiunga na mfuko huo"
Post a Comment