title : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA
kiungo : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA
Msajili wa Hazina, Athumani Selemani Mbuttuka (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) alipokuwa akimkaribisha ofisini kwake, jijini Dar es salaam alipokwenda kwa lengo la kujitambulisha. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (wa tatu kushoto) akizungumza wakati akielezea mipango na mikati yake kwa Benki hiyo, kwa Msajili wa Hazina, Athumani Selemani Mbuttuka (kushoto) wakati alipompembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam, alipokwenda kwa lengo la kujitambulisha.
Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA
yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb_16.html
0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA"
Post a Comment