title : MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI
kiungo : MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI
MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wajumbe wapya wa Baraza hilo ambalo lilizinduliwa hivi karibuni baada ya kuvunjwa na Waziri wa Wizara hiyo mwezi Julai mwaka huu. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dodoma, leo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akifurahi jambo wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa (kushoto) alipokua anazungumza katika kikao cha kwanza cha Baraza hilo tangu lilipovunjwa Julai mwaka huu kwa lengo la kulifanyia maboresho zaidi. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu alipokua anazungumza kuhusu masuala mbalimbali ya usalama barabarani katika kikao cha kwanza cha wajumbe wapya walioteuliwa wa Baraza hilo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dodoma, leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hivyo makala MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI
yaani makala yote MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/masauni-aongoza-kikao-cha-kwanza-cha.html
0 Response to "MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI"
Post a Comment