Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani
kiungo : Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani

soma pia


Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Masanja Kadogosamara baada ya kutembelea banda la kampuni inayotengeneza reli mpya ya kisasa ya YAPI MERKEZ wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya wiki ya Viwanda mkoani Pwani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji  wa benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela Tuzo ya Udhamini Mkuu wa maonyesho ya Viwanda mkoani Pwani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji  wa benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela cheti ya Udhamini Mkuu wa maonyesho ya Viwanda mkoani Pwani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi maalum ya kumpongeza kwa kufanya ziara yenye mafanikio mkoani Pwani toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) mara baada ya ufunguzi wa wiki ya maonyesho ya Viwanda mkoani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi na wadhamini wa maonyesho ya Wiki ya Viwanda mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani

yaani makala yote Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Maonyesho ya Wiki ya Viwanda Mkoani Pwani"

Post a Comment