KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA

KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA
kiungo : KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA

soma pia


KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA

Na Agness Francis,globu ya Jamii

Kituo cha utamaduni cha Urusi na Tanzania wanaadhimisha wiki ya kumbu kumbu ya aliyekuwa mchoraji nguli hapa nchini Boniface Msagula.

Msagula aliyezaliwa 1939 kijiji cha ndanda wilayani masasi mkoa wa Lindi na kufariki 2005 anakumbukwa na kituo hicho kwa kuonyesha sanaa ya michoro yake ya aina ya tinga tinga alichora enzi ya uhai wake.

Akizungunza jijini Dar es Salaam aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo hicho Rifat Pateev amesema maonesho hayo yameana jana katika hicho na kilele chake itakuwa Oktoba 6 mwaka huu.Amefafanua muda wa kuanza kwa maonesho hayo ni saa nne asubuhi na kumalizika saa 10 jioni na hakuna kiingilio,na watu waliokuwa wakijishuhulisha na Sanaa hapa jijini Dar es Salaam hasa Rifat Pateev aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha utamaduni cha Urusi na Tanzania. 

Akifafanua zaidi Rifat alisema alivutiwa Sana na viwango na uasili wa kazi za Sanaa za Msagula."Miongoni mwa wasanii wa kitanzania ambao nimezishuhudia kazi zao ni Damian Msagula ana michoro ya kipekee,rangi katika michoro na picha zake zilikuwa zikiendana vizuri na kwa uhakika,hiki kilikuwa ni kipaji muhimu kwake"amesema Rifat Pateev. 

Pia ametaja baadhi ya Maonyesho ya picha michoro na Sanaa aliyowahi kufanya Msagula katika sehemu mbali mbali ni mwaka 1976 New Africa hotel Dar es salaam, mwaka 1992 Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, mwaka 1993 Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, mwaka 1995 Telelom building Bonn, mwaka 1996 Dunia ya mizimu ya Msagula kituo cha utamaduni cha urusi na Dar es Salaam.Pia mwaka 1998 simulizi za Msagula kituo cha utamaduni cha urusi na Dar es Salaam,mwaka 1999 Tinga tinga na 2000 Msagula-Solo Exhibition. 



Hivyo makala KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA

yaani makala yote KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kituo-cha-sanaa-cha-urusi-na-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KITUO CHA SANAA CHA URUSI NA TANZANIA WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MCHORAJI NGULI MSAGULA"

Post a Comment