KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY

KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY
kiungo : KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY

soma pia


KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY

NAODHA wa timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu chini ya Miaka 18 Jesca Ngisaise anatarajia kusafiri kesho alfajiri  kuelekea Senegal kwenye majaribio.

Jesca amekuwa zao zuri la vijana katika mchezo wa kikapu nchini akionekana kufanya vizuri pale anapokuwa anapewa nafasi na kama atafanikiwa kufanya vizuri kwenye majaribio hayo atapata nafasi ya kujiunga na NBA ACADEMY. 

 Kama Jesca atafanikwia kujiunga na NBA Academy atakuwa amepiga hatua moja kubwa sana kuelekea kucheza kwenye WNBA nchini Marekani. 

Jescar mwenye umri wa  miaka 17 na amekua akifanya vizuri katika timu ya Taifa pia aliweza kuchagulia katika timu ya All Stars kwenye mafunzo maalumu ya BWB yaliyofanyika kule Africa kusini mwezi wa nane. Tunamtakia kila la heri aendelee kutuwakilisha vyema. 


Hapa nyumbani Jescar anacheza katika timu ya Ukonga Academy na katika ligi ya mkoa wa Dar es salaam iliyomalizika hivi karibuni alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi hiyo.
Naodha wa timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu chini ya Miaka 18 Jesca Ngisaise.


Hivyo makala KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY

yaani makala yote KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kinda-wa-kikapu-jesca-kuelekea-senegal.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY"

Post a Comment