KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE

KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE
kiungo : KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE

soma pia


KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

KAIMU Sheikhe wa Mkoa wa Mwanza Hassan Musa Kabeke amesema moja ya vipaumbele vyake ni kuimarisha uchumi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na elimu ya dini.

Sheikhe Kabeke alitoa kauli hiyo jana kwenye ukumbi wa ofisi za BAKWATA zilizopo Mbugani katika Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, wakati akizungumza na wajumbe wa halmashauri ya mkoa, masheikh wa wilaya na kata mkoani humu.

Alisema miongoni mwa mambo yanayomkera ni hali duni ya maisha na udhalili (unyonge) hivyo ameweka mikakati na mipango ya kuimarisha uchumi wa BAKWATA ili kubadilisha maisha ya walimu wa madrasa, masheikhe na maimamu wa misikiti ambao ni zao la uislamu (kiwanda) na misingi ya dini hiyo ya Kiislamu.

Kaimu Sheikhe huyo wa mkoa alisema madrasa na msikiti ndio eneo dhaifu kutokana na walimu na masheikhe kushindwa kufundisha elimu ya dini na hata ujira wao ni mdogo wanazidiwa na watumishi wa ndani jambo ambalo linamkera na hivyo ameamua kulitafutia tiba.

Sheikhe Kabeke alieleza kuwa ili kuboresha hali za walimu wa madrasa,masheikhe na maimu na waumini wa kiislamu lazima kuwe na vyanzo vya mapato yatakayosaidia Waislamu na haiwezekani kuendelea kuwa na BAKWATA ombaomba.


Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Musa Kabeke akizungumza na wajumbe wa halmashauri ya BAKWATA mkoani Mwanza, masheikhe wa wilaya, Kata na Misikiti ya wilaya zote za Mwanza jana, kwenye ukumbi wa mikutano wa baraza hilo Mbugani katika Wilaya ya Nyamagana jana. Picha na Baltazar Mashaka


Kaimu Katibu Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, sina Mwagalazi akizungumza na wajumbe wa Halmashauri kuu ya baraza hilo, masheikhe wa wilaya na kata wa wilaya za mkoani humu.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya BAKWATA Mkoa wa Mwanza Amran Batenga akizungumza na wajumbe wa halmashauri hiyo, masheikhe wa wilaya na kata za mkoani humu jana kwenye ukumbi wa baraza hilo Mbugani katika Wilaya ya Nyamagana. 



Hivyo makala KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE

yaani makala yote KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kaimu-sheikhe-wa-mkoa-mwanza-aeleza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAIMU SHEIKHE WA MKOA MWANZA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA UCHUMI WA VIONGOZI, WALIMU NA MASHEIKHE"

Post a Comment