title : IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI
kiungo : IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI
IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young wakati balozi huyo alipotembelea Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya kuimarisha Uhusiano. (Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi jarida la Polisi Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young baada ya kufanya mazungumzo ya kuimarisha uhusiano Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi).
Hivyo makala IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI
yaani makala yote IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/igp-akutana-na-balozi-wa-korea-nchini.html
0 Response to "IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI"
Post a Comment