title : DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN
kiungo : DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN
DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 25/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimsikiliza Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri walipokuwa katika mazungumzo wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao (hawapo pichani),[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri (wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Hivyo makala DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN
yaani makala yote DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dkt-shein-akutana-na-mratibu-wa-un.html
0 Response to "DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN"
Post a Comment