Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China

Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China
kiungo : Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China

soma pia


Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China

Na Beatrice Lyimo - CHINA
MKURUGENZI wa Idara ya Habari- MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ataendelea na ziara yake nchini China ambapo leo Ijumaa mchana atatembelea Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari cha China na kutoa mhadhara.

Katika mkutano huo, moja ya masuala anayotarajia kuzungumza na wahadhiri na wanafunzi wa chuo hicho ni kuhusu  diplomasia ya Tanzania na China iliyopelekea kuwa na ushirikiano wa karibu mpaka sasa.

Aidha, Dkt. Abbasi pia atazungumzia wajibu wa wanahabari na namna wanavyotakiwa kuenenda ili kutekeleza wajibu wao katika sekta nzima ya habari na mawasiliano.

Mbali na hayo, akiwa msimamizi wa sekta ya habari nchini Tanzania Dkt. Abbas katika mkutano huo  ataeleza  hali ya sekta ya habari Tanzania ilivyo sasa na ijayo kwa maendeleo ya nchi.

Dkt. Abbasi na ujumbe wake wa Maafisa Habari na Uhusiano Serikalini wapo mjini Beijing kwa ziara iliyolenga kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano.
 Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Ujumbe wake wakipewa  maelezo ya kiutendaji wa kazi za kila siku zinazofanywa na Shirika la Habari la CCTV na CGTN kutoka kwa mmoja wa viongozi wa juu wa Shirika hilo mapema Jana jijini Beijing, China.


Picha mbalimbali za ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali  Dkt. Hassan Abbasi na Ujumbe wake alipotembelea vyombo vya habari vya CCTV na CGTN na China Redio Kimataifa Beijing China.


Hivyo makala Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China

yaani makala yote Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dkt-abbasi-kuhutubia-chuo-kikuu-cha_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt. Abbasi Kuhutubia Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Habari China"

Post a Comment