title : DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA
kiungo : DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA
DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA
MAKONDA kweli noma! Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Mkuu ya Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amtengaza hadharani kwamba iwapo msanii Nasseb Abdull a.k.a Diamond asipooa mwaka huu basi atamfunga.
RC Makonda amesema hayo leo wakati anazungumza kwenye sherehe za kumbukizi ya kuzaliwa kwa Diamond ambapo tukio linakwenda sambambamba na msanii huyo kurejesha shukrani kwa wananchi wa Kata ya Tandale.
"Mama Diamond naomba nieleze hapa wazi kuwa mwaka huu kabla ya kuisha lazima Diamond awe ameoa.Asipooa namfunga,"amesema.
Amesisitiza ni lazima msanii huyo akaoa na kutoa mifano kwenye orodha ya watu ambao anataka waoe mwaka huu wapo watatu na mmoja wao ni Diamond.

Mkuu ya Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza wakati wa sherehe za kumbukizi ya kuzaliwa kwa Diamond ambapo tukio linakwenda sambambamba na msanii huyo kurejesha shukrani kwa wananchi wa Kata ya Tandale.
Hivyo makala DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA
yaani makala yote DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/diamond-asipooa-mwaka-huu-namfunga.html
0 Response to "DIAMOND ASIPOOA MWAKA HUU NAMFUNGA - MAKONDA"
Post a Comment