title : DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO.
kiungo : DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO.
DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO.
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema,amezindua Vyoo vya wavulana na wasichana kumi na sita katika shule ya Msingi Bunge Leo jijini Dar es salaam
Uzinduzi huo umefanyika katika shule ya Msingi bunge lengo ni wanafunzi kuwa katika mazingira salama pia Mjema amewataka wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa bidii ili kuweza kufikia malengo waliojiwekea.
Amesema Vyoo hivyo vimejengwa badaa ya.kampeni ya kujenga Choo Cha mtoto wa like chenye kauli mbiu " Mtoto wa kike mwavuli wangu stara" ambapo kampeni hiyo ilianzishwa mwezi wa tatu mwaka huu.
Aidha amewataka wanafunzi kutumia Vyoo hivyo kwa uangalifu sambamba na kunawa Mikono I'll kuepuka magonjwa ya milipuko.
Katika hatua nyingine DC Mjema amtembelea wafanyabiashara wa Zanaki, wanaofanya biashara pembezoni mwa barabara na kuwapa wiki Moja waweze kuhamia katika soko la Kisutu mtaa wa Machafukoge.
Amesema Mtendaji wa mitaa atapita na kuwaandikisha majina na baada ya hapo watapatiwa eneo katika Soko la Kisutu lililotengwa kwa ajili ya biashara ambapo Ni la muda kupisha Ujenzi wa soko jipya la Kisasa.

Dc MJEMA.akiwa Katika picha ya Pamoja na walimu wa Shule ya Msingi Bunge,Pamoja na Watendaji katika halmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Baadhi ya wanafanzi was Shule ya Msingi Bunge, wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.
Hivyo makala DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO.
yaani makala yote DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-wanafunzi-someni-kwa-bidii.html
0 Response to "DC MJEMA :WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII MVUKE LENGO."
Post a Comment