DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY

DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY
kiungo : DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY

soma pia


DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY



 
DC Mjema ,akizungumza na wafanyabiashara Katika Soko la Feri Leo katika Zone namba 3akiwa katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi
Mwamba wa habari
Na. John Luhende
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema ameiagiza taasisi ya Kuzuia kupambana na rushwa TAKUKURU wilya ya Ilala kuchunguza Zone namba tatu katika soko la samakifery ili kubaini utaratibu unaotumikakatika kupata vizimba, na  kuchunguza kitendo cha  watu wanoahidi kutoa Mikopo kwa wafanyabiashara hao alafu hawatekelezi ili kuwabaini na kuchukuliwa hatua za kisheria.

DC Mjema ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi Jimbo la Ilala ambapo leo yupo sokoni  hapo, na kuagiza uongozi wa soko Hilo kumaliza kero ya wafanyabiashara kupanga chini samaki wakati Kuna meza maalumu,jambo ambalo linalalamikiwa na wafanya biashara.
DC  Mjema ameitaka Benki ya DCB kutoa mikopo bila riba Kama ilivyoagizwa na Mhe. Rais John Pombe Maguli kwani wananchi wa Hali ya chini wanapaswa kupata mikopo hiyo kwa ajili ya kufanya Ujasiriamali.

"Mimi natoa Maagizo kwa katibu tawala ahakikishe anamwita Meneja wa Benki ya DCB ili aseme Kama hayuko tayari kutoa Mikopo bila Riba Kama agizo lilivyotolewa na Mhe. Rais, tutafuta Benki nyingine ambayo ipo tayari kutoa Mikopo bila Riba kwa wannchi hawa was kipato Cha Chini"Amesema Dc Mjema.

Amesema Kila Zone katika soko Hilo Kuna Kero hivyo watahakikisha wanasikiliza na kutoa majibu ambapo Kero zilizowasilishwa ni za Miundombinu, kero ya Mikopo ambapo wanataka wawezeshwe ili waweze kufanya kazi, Pamoja na Kero ya Ushirikishwaji.



Mmoja wa wafanyabiashara wa Soko la samaki feri jijini Dar es Salaam akiwasilisha Kero yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema
Baadhi ya wafanyabiashara wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala.






Hivyo makala DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY

yaani makala yote DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-ataka-takukuru-ichunguze-zone.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MJEMA ATAKA TAKUKURU ICHUNGUZE ZONE NAMBA 3 SOKO LA SAMAKI FERRY"

Post a Comment