CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI

CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI
kiungo : CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI

soma pia


CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI

HATIMAYE Canada imeandika historia baada ya kuwa nchi ya pili duniani baada ya Uruguay kwa kuhalalisha rasmi matumizi ya bangi hadharani kama dawa na starehe. 
 
 
Jarida la Times nchini humo limeeleza kuwa baada ya miaka 95 ya kuzuiliwa kwa matumizi ya bangi hatimaye Canada imetangaza rasmi matumizi ya bangi na soko la kuuza bangi lilifunguliwa rasmi usiku wa kuamkia jumatano. Na hiyo imekuja baada ya watu zaidi ya milioni 15 kutoa maoni yao katika sanduku la posta na kupendekeza uhalalishaji wa matumizi ya bangi. 

Imeelezwa kuwa mwaka 2001 bangi iliruhusiwa kutumika kama dawa na hiyo ni baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge nchini humo na kwa sasa watatununua na kutumia bangi hadharani bila bughudhi na polisi watahakikisha na kukabiliana na visa vya uendeshaji magari wakiwa wamelewa bangi. Uhalalishwaji huo umekuja baada ya ahadi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Justin Trudeau wa Liberal Party of Canada katika kampeni zake za mwaka 2015. 

Na baadhi ya wananchi wameonekana kununua bidhaa hiyo huku wakipewa risiti ambazo zimekatwa kodi. Historia inaeleza kuwa mwaka 1923 matumizi ya bangi yalipigwa marufuku nchini humo na kufikia mwaka 2001 bangi iliruhusiwa kwa matumizi ya dawa pekee na Oktoba 17 mwaka huu bangi imehalalishwa rasmi kwa matumizi ya dawa na starehe.


Hivyo makala CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI

yaani makala yote CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/canada-yahalalisha-matumizi-ya-bangi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI"

Post a Comment