title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akiwasilisha taarifa ya hali ya Sukari nchini wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi, Dkt. Agustine Mahiga (kulia) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akijibu swali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Sheria Mtemi Andrew Chenge akiwasilisha Hoja ya Kamati kuhusu maboresho ya sheria mbalimbali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali la nyongeza wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma_13.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment