WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Wafanyabiashara wa nchini China, wakati akizungumza nao leo jijini Beijing ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC),unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa China Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3, 2018 ambapo utafanyika kwa siku mbili. Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Joh Pombe Magufuli, katika mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wajumbe kutoka Tanzania waliopo nchini China kuhudhudhulia Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC),unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa China Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Wafanyabiashara wa nchini China,mara baada ya kuzungumza nao leo jijini Beijing ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC),unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa China Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3, 2018 ambapo utafanyika kwa siku mbili. Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Joh Pombe Magufuli, katika mkutano huo.
Balozi wa Tanzani chini China, Mbelwa Kairuki akimtambulisha mmoja wa wafanyabiashara wa China kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Godfrey Mwambe baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzungumza nao leo jijini Beijing, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa China, Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3, 2018 ambapo utafanyika kwa siku mbili.
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Godfrey Mwambe akibadilishana kadi na baadhi ya Wafanyabiashara wa nchini China.


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING"

Post a Comment