WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346.

WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346.
kiungo : WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346.

soma pia


WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.
Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Zaidi ya  milioni 346 zimepatikana katika kampeni ya usafi Mkoa wa Dar es Salaam baada ya askali Mgambo na JKT  walipewa kazi ya kusimamia  kuwatoza faini watu wanaochafua mazingira.

Akizungumza leo na wadau mbalimbali wa mazingira, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amesema kuwa kampeni ya usafi inakwenda vizuri licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa.

Mhe. Makonda amesema kwa muda wa mwezi mmoja askali mgambo walipewa jukumu la kusimamia mazingira wamefanikiwa kuwakamata watu II,669 ambao walibainika wanachafua mazingira.

Amesema kuwa katika idadi ya watu II,669 walikamatwa, watu 6,577 walipigwa faini na 2,2I3 walipewa adhabu ya kufanya usafi.

RC Makonda amebainisha kuwa katika kampeni hiyo 376 walidhaminiwa na  ndugu zao na kuachiliwa baada ya kulipiwa faini huku idadi ya watu 6 walifikishwa mahakamani.

"Lengo letu ni kuhakikisha maeneo yetu yanakuwa masafi lakini kama watu watakuwa wanaendelea kuchafua mazingira wagambo wataendelea kuwa na ajira ya kudumu" amesema Mhe. Makonda.

Amesema kuwa kampeni ya usafi katika mkoa wa Dar es Salaam umeleta mafanikio kwani baadhi ya maeneo yameonekana kuwa katika hali ya usafi tofauti na awali.

Hata hivyo amebainisha kuwa bado kuna changamoto ya baadhi ya askali mgambo kutotekeleza majukumu yako kwa kuzingatia sheria.

"Majukumu ya mgambo ni kuwakamata watu wanaochafua mazingira na sio kuwapiga raia ambao wanatupa takataka" amesema Mhe. Makonda.

Ameeleza kuwa kuna upungufu wa tendaji katika ngazi ya mtaa na kata kutokana baadhi ya mgambo wanakwenda katika maeneo yao ya kazi bila kuwa mwenyeji wake ambaye ni Afsa mtendaji mtendaji wa mtaa au kata.

Katika hatua nyengine amewataka mamiliki wa viwanda kuzingatia suala la mazingira hasa vile viwanda vinavyochafua mazingira.

Amesema kuwa usafi ni muhimu kwa maisha ya  binadamu kwani upunguza gharama za maisha kwa kuepuka magonjwa yanayotokana na uchafu.



Hivyo makala WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346.

yaani makala yote WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wagambo-dar-wakamata-watu-ii669-kampeni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAGAMBO DAR WAKAMATA WATU II,669 KAMPENI YA USAFI, WAWAPIGA FAINI MILIONI 346."

Post a Comment