Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar.

Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar.
kiungo : Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar.

soma pia


Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar.

Ofisa mdhamini wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma,akifunguwa mafunzo ya marekebisho ya Sheria za Kodi za Bodi ya MapatoZanzibar (ZRB) kwa Wadau wa Kodi wa Mkoa wa Kusini Pemba, huko katikaukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake .
 Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakiskiliza kwa makini marekebisho ya Sheria za Kodi zinazosimamiwa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) yaliofanyika katika ukumbi za Baraza la Mji wa Chake
Chake Pemba, yaliotolewa na ZRB,Zanzibar.
Mfanyabiashara Maalim Nassib -kutoka Kengeja , akichangia mada juu ya marekebisho ya Kodi huko katika mafunzo ya marekebisho ya baadhi ya Sheria za Kodi yalioandaliwa na ZRB Zanzibar kwenye ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake Pemba.
Mfanyabiashara maarufu katika Mji wa Chake Chake , Abdalla Said (Ng'onda) akitaka ufafanuzi juu ya malipo ya wageni Wazalendo katika nyumba za kulala Wageni , huko katika mafunzo ya marekebisho ya baadhi ya sheria za Kodi yaliofanyika katika ukumbi ya Baraza la Mji wa ChakeChake -Pemba.


Hivyo makala Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar.

yaani makala yote Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wafanyabiasha-kisiwani-pemba-wapata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar."

Post a Comment