Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF

Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF
kiungo : Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF

soma pia


Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF




Afisa matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Abbas Cothema akitoa maelekezo kwa waendesha bodaboda wa wilaya ya Temeke wakati walipokuwa wakijiandikishai ili kujiunga kwenye mfumo wa Hiari wa NSSF katika kampeni ya Zamu yako maalumu kwa wananchi ambao wako kwenye sekta isiyorasmi.

Baadhi ya waendesha bodaboda wakiwa kwenye foleni ya kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF jana wilayani TemekeJijini Dar es salaam.
Afisa matekelezo Kassim Mfundo akiwaandikisha wanachama wapya kwenye mfumo wa Hiari hapo jana wilayani Temeke ambapo waendesha bodaboda 117 walijiandikisha.


Hivyo makala Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF

yaani makala yote Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waendesha-bodaboda-wamiminika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waendesha bodaboda wamiminika kujiandikisha kwenye mfumo wa hiari wa NSSF"

Post a Comment