WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA

WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA
kiungo : WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA

soma pia


WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA

Diwani wa kata ya Baraki Mh Mwita Laurian akikabidhi vyeti kwa wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Erengo ambapo mahafari hayo yameambatana na harambee kwa lengo la kuboresha vyumba vya madarasa hayo.

Na Frankius Cleophace, Rorya.

Wadau wa elimu Wilayan Rorya Mkoni mara wametakiwa kuendelea kuchangia fedha kwa lengo la kuboresha Vyumba vya madarasa katika shule za msingi wilayani Rorya Mkoani Mara ili kuweza kuweka mazingira bora ya kujifunzia na kufundishia ikiwemo shule ya Msingi Erengo ambayo inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa majengo pamoja na upungufu wa Madarasa.

Wananchi kwa kuliona hilo katika mahafari ya darasa la saba Shule ya Msingi Erengo  wanachangi fedha kupitia harambee ambapo wamechangia zaidi ya Millioni moja pamoja na vifaa vyenye thamani ya shilingi Millioni moja huku wakiomba serikali kuwaunga mkono ili kuendeleza jitihada hizo , Makutano Gijagida ni Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Erengo na Charles Maganya ni mratibu Elimu kata ya Baraki wanazungumzia changamoto za shule hiyo huku wakipingeza nguvu za wananchi haowaliojitoa kuchagia katika harambee iliyoandaliwa.
Wanafunzi wa darasa la saba awakitoa burudani ya nyimbo katika mahafari hayo.

Maganya amesema kuwa shule yake inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vyumba vya madarasa hivyi amezidi kuomba wadau wa elimu na wazazi kuzidi kujitoa kwa wingi kwa lengo la kutatu changamoto hiyo.

“Mazuingira ya shule yakiwa mazuri wanafunzi watapenda kusoma pia walimu watkaa shuleni hivyo sasa wazazi na wadau wa elimu kwa mkoa wa Mara na nje ya mkoa tuendelee kujitoa” alisema Mwalimu mkuu.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA

yaani makala yote WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wadau-wa-elimu-watakiwa-kuchangia-ili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUCHANGIA ILI UBORESHA VYUMBA VYA MADARASA RORYA"

Post a Comment