TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA .

TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA . - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA .
kiungo : TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA .

soma pia


TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA .

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MOJA ya kauli ambayo nimeisikia zaidi ya mara moja ikitamkwa na washiriki wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2018 ni ile inayoonesha kutoa shukrani zao za dhati kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS),

Warembo hao walioumbwa na Molla wao wakaumbika hawakuwa na shaka hata kidogo kupaza sauti zao tena kwa madaha na madoido wakisema Tanzania yetu, Misitu yetu, Fahari yetu, Urembo oyeee na kisha wanamalizia kwa kusema hivi TFS oyeeeeee..Nikwambie mapema nilikuwa nawasikia kwa masikio yangu.Ndio maana nakwambia nimewasikia.Niamini.

Unajua kwanini?Iko hivi TFS ambayo ipo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii na kwamba iliamua kuwapeleka warembo hao kwenye Hifadhi ya Mazingira ya Msitu Asili wa Amani iliyopo mkoani Tanga.

Hifadhi hiyo inapatikana katika Wilaya ya Muheza na ipo umbali wa kilometa 35 kutoka Muheza Mjini.Hivyo ni hifadhi ambayo haiko mbali saaana, lakini kwa vivutio vilivyopo kwenye hifadhi hiyo hata ingekuwa mbali kiasi gani ningekushauri ufike ujioonee mwenyewe. Na hivi TFS wanavyojua kutunza hifadhi zetu hadi raha.Nenda Mtanzania mwenzangu ukaone vilivyomo.
 Washiriki wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2018 wakishangilia baada ya kufika katika Mapango ya Amboni mkoani Tanga.
 Baadhi ya washiriki wa Miss Tanzania 2018 wakiwa wamenyoosha mikono juu baada ya kufika katika Shamba la Chai lililopo katika hifadhi ya msitu wa asili wa Amani mkoani Tanga 
Washiriki wa Miss Tanzania 2018 wakiwa katika hifadhi ya msitu wa asili wa Amani mkoani Tanga baada ya kutembelea majiko banifu yanayotumiwa na wananchi wa vijiji vinavyozunguka msitu huo uliopo mkoani Tanga.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2018 wakiwa katika moja ya  mlango wa pango la Amboni mkoani Tanga.


Hivyo makala TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA .

yaani makala yote TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tfs-imesababisha-macho-ya-washiriki_6.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA ."

Post a Comment