TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru

TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru
kiungo : TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru

soma pia


TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru

 Wananchi wa kata ya Olmotonyi wakiwasikiliz Mafisa sheria wa chama cha wanawasheria wanawake (Tawla), Neema Ahmed, na Aika Palangyo katika kampeni kuhusu suala la uandishi wa wosia.
 Wananchi wa kata ya Olmotonyi wakimsikiliz afisa sheria wa chama cha wanawasheria wanawake (Tawla), Neema Ahmed ( hayupo pichani), akiwahamasisha kuhusu suala la uandishi wa wosia.
Mwanasheria wa Tawla Aika Palangyo aliwaeleza wakazi wa kata ya Olmotonyi namna wosia unavyoandikwa.

Seif Mangwangi, Arusha
CHAMA cha wanasheria wanawake (Tawla), kimeanza kampeni ya kuhamasisha Jamii ya kabila la  maasai na wameru kuandika wosia kabla ya kufariki dunia kufuatia kuwepo kwa matukio mengi ya unyanyasaji baada ya mmoja katika familia kufariki.

Akizungumza jana katika kampeni hiyo iliyofanyika kwa wananchi wa vijiji vya ngaramtoni, emaoi na olmotonyi katika kata ya olmotonyi wilayani Arumeru, Afisa sheria kutoka Tawla, Neema Ahmed alisema ofisi yao imekuwa ikipokea matukio mengi ya wanawake kunyanyaswa baada ya waume zao kufariki.

Alisema wajane katika familia nyingi za jamii ya kimaasai na kimeru wamekuwa mafukara kutokana na kunyang’anywa mali na mashemeji mara baada ya waume zao kufariki dunia bila kuacha maandishi yanaayoonyesha urithi wa mali.

“Lakini cha kushangaza hizi mali zinazogombewa unakuta ulizitafuta na mme wako lakini inapotokea ukafariki dunia wanaibuka mashemeji na hata wakati mwingine wakwe wanawanyang’anya, sasa kama kutakuwa na wosia hakuna atakaeweza kuingilia mali za marehemu, “ alisema.


Hivyo makala TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru

yaani makala yote TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tawla-yaanzisha-kampeni-ya-kuandika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAWLA yaanzisha kampeni ya kuandika wosia kwa wamasai na wameru"

Post a Comment