TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018

TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018
kiungo : TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018

soma pia


TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Akson, akimtunza pesa msanii wa muziki wa kizazi kipya Hip Hop akapela, Meshack Ngemela, aliyetoa burudani katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe.
 WASANII wa kikundi cha ngoma cha Songela, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe. 
 WASANII wa kikundi cha ngoma cha Lupaso, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe.
 MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dogo Ditto, akiimba jukwaani na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Akson, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018 lililoanza jana Sept 20/2018 katika Uwanja wa tandale mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe.

(Picha na Muhidin Sufiani)


Hivyo makala TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018

yaani makala yote TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tamasha-la-tulia-tradition-dances.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018"

Post a Comment