title : TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO.
kiungo : TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO.
TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO.
Wakati pambano la kufuzu kuelekea kufuzu AFCON 2019 kati ya Uganda 'The Cranes' dhidi ya Taifa Stars likisubiriwa kwa hamu jioni ya leo, Daktrari wa Stars, Richard Yomba, amefunguka kuhusiana na majeruhi ndani ya kikosi.
Yomba ameeleza kuwa kikosi hakuna majeruhi hata mmoja zaidi ya Kelvin Yondani pekee ambaye aliachwa nchini kufuatia kuumia goti.
Daktari huyo amesema hakuna kinachowasumbua wachezaji zaidi ya kupatwa na uchovu pekee baada ya kuwasili jijini Kampala juzi ambao hivi sasa umeshamalizika.
Stars itashuka dimbani ikiwa mgeni kukipiga na Uganda ambayo imekuwa na kiwango kizuri kwa miaka ya hivi karibuni, mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Mandela.
Katika mechi zilizopita za timu hizo kwenye kundi L, Uganda iliilaza Cape Verde bao 1-0 huko Kampala wakati Stars ikilazimishwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hivyo makala TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO.
yaani makala yote TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/taifa-stars-rasmi-kuivaa-uganda-leo.html
0 Response to "TAIFA STARS RASMI KUIVAA UGANDA LEO."
Post a Comment