Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba

Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba
kiungo : Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba

soma pia


Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba

 Meneja wa Taasisi ya Milele Zanzibar  Foundation, Abdalla Saidi Abdalla, akizungumza machache mikakati iliojiwekea taasisi hiyo katika kukuza huduma za elimu nchini hususan kwa somo la Kingereza.
 Walimu wakuu wa Skuli teule na maafisa Elimu Wilaya na Mikoa na Waratibu wa vituo vya Elimu masafa TC Pemba ,wakiwaka katika mkutano wa hafla ya makabidhiano ya Vitabu vya kusomea Kingereza vilivyotolewa na taasisi ya Milele Zanzibar Foundation huko Mfikiwa Pemba.
 Ofisa Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar, Maalimu, Mohammed Nassor Salim, akiwahutubia Walimu wa Skuli teule zilizopatiwa msaada wa Vitabu vya kusomea somo la Kingereza pamoja na maafisa mbali mbali wa Elimu Kisiwani juu ya matumizi ya Vitabu hivyo katika hafla iliofanyika huko katika Ofisi ya taasisi hiyo Mfikiwa Wawi Pemba.

Ofisa mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Pemba , akimkabidhi Mwalimu  mkuu wa Skuli ya Birikau katika Wilaya ya Chake Chake Pemba, kwa niaba ya walimu wenzake wa Skuli teule zilizopatiwa msaada wa vitabu vya kusomea Kingereza vilivyotolewa na taasisi ya Milele Zanzibar Foundation. PEMBA.

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.




Hivyo makala Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba

yaani makala yote Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/taasisi-ya-milele-yakabidhi-msaada-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taasisi ya Milele yakabidhi msaada wa vitabu vya kiingereza kisiwani Pemba"

Post a Comment