SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE

SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE
kiungo : SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE

soma pia


SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
MAMLAKA ya Udhibiti ya Usafiri wa Maji na Nchi Kavu (Sumatra) imesema kuwa inafanyia kazi agizo la Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye kuhusiana na safari za masafa ya kuanzia masaa nane kuanza kuondoka katika kituo cha mabasi Ubungo saa 11 pamoja na kuanza kwa safari za Dodoma-Dar es Salaam kwa masaa 24.

Akizungumza na Michuzi Blog kwa njia ya simu Mkurugenzi wa Udhibiti wa Usafiri wa Barabara wa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), Johansen Kahatano amesema kuwa katika wiki mbili alizotoa Naibu Waziri huyo wanaendelea kufanyia kazi kwa kushirikiana na jeshi la polisi na baada ya hapo watawatangazia wananchi.

Amesema kuwa katika kuanza huko wanaangalia mazingira ya usalama wa abiria kutoka muda uliozoeleka na kuingia muda mwingine wa kufanya safari hizo.

“Bado tunaendelea kufanyia kazi agizo la Naibu Waziri Nditiye na tukimaliza kazi kuangalia mazingira ya usafiri huo kuanza safari saa 11 na ile ya Dodoma ya masaa 24 ni kuwatangazia wananchi ambayo itafabywa na (Sumatra)”amesema Kahatano.

Aidha amesema wananchi waendelee kuendelea na muda uliokuwepo katika kituo cha mabasi ubungo kuondoka saa 12 kukiwa na mabadiliko watapata taarifa juu ya mabadiliko hayo.
Basi zikikaguliwa kabla ya kuanza kuondoka katika kituo cha mabasi Ubungo kwa ajili ya safari za kwenda mikoa mbalimbali ya hapa nchini na nje ya nchi.


Hivyo makala SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE

yaani makala yote SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/sumatra-yaendelea-kufanyia-kazi-agizo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SUMATRA YAENDELEA KUFANYIA KAZI AGIZO LA NAIBU WAZIRI NDITIYE"

Post a Comment