RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA

RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA
kiungo : RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA

soma pia


RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamongo mkoani Mara wakati akitokea Mugumu Serengeti.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua daraja hilo la mto mara lenye urefu wa mita 94 linalounganisha katika ya Wilaya ya Serengeti na Tarime mkoani Mara.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nyansura  Serengeti mara baada ya kukagua mradi wa daraja la mto mara lenye urefu wa mita 94 linalounganisha katika ya Wilaya ya Serengeti na Tarime mkoani Mara.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa  na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
 Sehemu ya Daraja la mto mara mita 94 ambalo ujenzi wake unaendelea na litaunganisha kati ya katika ya Wilaya ya Serengeti na Tarime mkoani Mara. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-magufuli-akagua-ujenzi-wa-daraja.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA"

Post a Comment