RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ.

RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ.
kiungo : RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ.

soma pia


RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ.




Mkuu wa Majeshi  Jenerali  Venance Mabeyo akishiriki zoezi la usafi katika kambi ya JWTZ  Lugalo aliyepo upande wa kushoto ni  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul  Makonda .


Na.John Luhende 
Mwamba wa habari
Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Leo limeadhimisha miaka 54  tangu kuanzishwa kwake.

Maadhimisho hayo yamefanyika jijini Dar es salaam chini ya Mkuu wa Majeshi Generali Venance Mabeyo akiwa na mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, kwa kufanya usafi katika eneo la kambi ya Jeshi Lugola na  baadaye kufuatiwa na michezo iliyofanyika katika eneo la Uwanja wa Jeshi mwenge vinyago .

Akizungumza katika maadhimisho hayo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amelipongeza Jeshi hilo kwa kudumisha usafi na kuwataka wananchi wa mkoa huo kuiga mfano wa Jeshihilo kutumia mazingira kwa usafi na kupanda miti katika maeneoyao.

Aidha Makonda ameelezeakusikitishwa kwake na kitendo cha mgambo wanaosimamia usafi katika jijini la Dar es salaam kwenda kinyume cha sheria katika kusimamia zoezi hilo kwakupiga wananchi na kusema kuwa hajawatuma kufanya hayo  na ametoa amri wakamatwe .

''Sheria zipo hakuna hata mmoja inayosema adhabu ya kukutwa na uchafu ni kupigwa bali sheria imeongelea faini, nimeagiza tangu jana walihusika na hilo tukio wakamatwe na hatua za sheria zichukuliwe dhidi yao" alisema.

Kwa upande wake mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo amewataka wanajeshi kudhibiti usalama wa kambi  kwa kutoruhusu raia kukatisha  katika maeneo ya Jeshi  na kuahidi kujenga ukuta katika eneo la jeshi kambi ya Lugalo na  Mwenge na kuhiza usafi kuwa endelevu.




Hivyo makala RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ.

yaani makala yote RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rc-makonda-mkuu-wa-majeshi-venance.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAKONDA ,MKUU WA MAJESHI VENANCE MABEYO WASHIRIKI USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JWTZ."

Post a Comment