title : RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE
kiungo : RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE
RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika mkasi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisorya kabla ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako ili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Ualimu Murutunguru kilichopo Nasio Ukerewe mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa wakati akipokuwa akisikiliza maelezo ya mradi wa maji wa Nansio Ukerewe mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ukerewe mara baada ya kuwasili akitokea Kisorya mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa wakati akitoka kukagua pampu za kusukuma maji katika mradi wa maji uliopo Nansio Ukerewe mkoani Mwanza.PICHA NA IKULU
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO , AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE"
Post a Comment